06/12/2008 ÿú AJALI YA NDEGE TANZANIA . TAARIFA KWA VYOMBO VYA . HABARI.-----Rais Jakaya Kikwete leo Juni 11, ameongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu waliofariki dunia katika ajali ya helikopta ya jeshi iliyotokea Jumatatu wiki hii mkoani Arusha.
25/03/2014 ÿú Ripoti hiyo imeorodhesha ajali za ndege kulingana na idadi ya watu waliokufa, mahali ilipotokea na aina ya ndege iliyohusika, kuanzia na yenye wingi mkubwa wa vifo. DC -3- Machi 18, 1955. Hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya ndege kuwahi kutokea katika anga la Tanzania , ikihusisha ndege DC-3 ya Shirika la Ndege ya Afrika Mashariki.
27/09/2019 ÿú GIZA AJALI ZA NDEGE BONGO. September 27, 2019 by Global Publishers. DAR: Kufuatia ajali ya ndege ndogo ya Shirika la Auric Air iliyotokea Jumatatu ya Septemba 23 na kusababisha vifo vya watu wawili, akiwemo Nelson Mabeyo ambaye ni mtoto wa Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Venance Mabeyo, giza nene limetanda kutokana na mfululizo wa ajali za ndege .
07/02/2016 ÿú Ajali za ndege zimekuwa zikitokea mara chache sana ukilinganisha na ajali za vyombo vingine vya usafiri kama vile magari, treni pikipiki n.k. Hii ni kutokana na udhibiti wa hali ya juu kutoka kwa mamlaka zinazohusika na kusimamia utengenezaji na uendeshaji wa vyombo vya angani, ambapo kwa hapa kwetu mamlaka husika ni Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA).
16/10/2015 ÿú Mbunge wa eneo la Ludewa aliyekuwa anamaliza muda wake, amefariki kwenye ajali ya ndege iliyotokea Alhamisi. Bw Deo Filikunjombe alikuwa safarini.
Wizara imemtuma mkaguzi wetu wa ajali za ndege kuelekea eneo la tukio ili kutuletea taarifa kamili, ilielezwa katika taarifa hiyo ya wizara. Taarifa kutoka Serengeti zilidai kuwa jana saa 2:35 asubuhi, chopa ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ilitua kwenye uwanja wa huo kwa ajili ya kuchukua mwili ambao ulihifadhiwa katika.
26/03/2014 ÿú Ifuatayo ni idadi ya ajali za ndege 10 zilizowahi kutokea Tanzania na idadi ya vifo vilivyotokea. 1. DC -3- Machi 18, 1955. Hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya ndege kuwahi kutokea katika anga la Tanzania , ikihusisha ndege DC-3 ya Shirika la Ndege ya Afrika Mashariki. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Mlima Kilimanjaro na kuua watu 20.
04/07/2019 ÿú Ajali ya Ethiopia Airlines: Mwathiriwa akataa fidia kutoka Boeing. 4 Julai 2019. Mwanamume mmoja aliyepoteza familia yake ya watu watano katika ajali ya ndege .
23/09/2019 ÿú Arusha. Ndege ndogo ya Shirika la Auric Air imepata ajali leo Jumatatu asubuhi Septemba 23, 2019 katika uwanja mdogo wa ndege eneo Seronera ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania . Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ambapo ilikuwa ikiruka kutoka Serengeti kwenda Arusha baada ya kushusha watalii.;"