Jumat, 17 September 2021

Ajali Ya Ndege Tanzania

23/08/2013 ÿú Ajali ya Ndege ya Tanzanair Lake Manyara Katika Picha. Photos of the plane crash in Tanzania yesterday! It was the private company Tanzanair chartered by tourists. It crash landed in Lake Manyara. The photos are from Facebook: Kutoka Aviation Safety: * A chartered Beechcraft B200C Super King Air was forced to carry out a ditching in the waters.

16/10/2015 ÿú Mbunge wa eneo la Ludewa aliyekuwa anamaliza muda wake, amefariki kwenye ajali ya ndege iliyotokea Alhamisi. Bw Deo Filikunjombe alikuwa safarini.

06/12/2008 ÿú AJALI YA NDEGE TANZANIA . TAARIFA KWA VYOMBO VYA . HABARI.-----Rais Jakaya Kikwete leo Juni 11, ameongoza waombolezaji katika kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu waliofariki dunia katika ajali ya helikopta ya jeshi iliyotokea Jumatatu wiki hii mkoani Arusha.

Ajali ya ndege ndogo yaua mtoto wa Mkuu wa Majeshi. ... Taarifa kutoka Serengeti zilidai kuwa jana saa 2:35 asubuhi, chopa ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ilitua kwenye uwanja wa huo kwa ajili ya kuchukua mwili ambao ulihifadhiwa katika zahanati ya Soronera.

23/09/2019 ÿú Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Tanzania Afariki kwa Ajali ya Ndege . September 23, 2019 by Global Publishers. NELSON MABEYO, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo, ni mmoja wa watu wawili waliofariki katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Auric iliyotokea leo asubuhi Jumatatu Septemba 23, 2019.

25/03/2014 ÿú Ajali ilihusisha ndege aina ya Piper PA 23-250 mali ya Shirika la Tanzanair, Dar es Salaam. Cessna 185-Oktoba 10, 1986. Ajali ya 10 mbaya zaidi ni ya mwaka 1986 iliyotokea katika eneo la Hombolo, Dodoma, ambapo ndege ya Shirika la NORAD, aina ya Cessna 185 ilianguka na kusababisha vifo vya watu watano.

23/09/2019 ÿú Nelson Mabeyo, mtoto wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo ni miongoni mwa watu wawili waliofariki katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Auric iliyotokea leo asubuhi Jumatatu Septemba 23, 2019. Nelson ndio alikuwa rubani wa ndege hiyo iliyoanguka katika uwanja mdogo wa ndege wa Seronera uliopo ndani ya ...;"